sw_tn/luk/09/01.md

376 B

Sentensi Unganishi

Yesu anawakumbusha wanafunzi wake waasitegemee pesa na vitu nyao, anawapa nguvu, na pia awatuma waende sehemu mbalimbali.

nguvu na mamlaka

Maneno haya mawili yametumika pamoja kuonesha kwamba wale kumi na wawili walikuwa na uwezo na haki ya kuponya watu.

magonjwa

"ugonjwa"

aliwatuma nje

"aliwatuma sehemu mbalimnbali" au "aliwambia waende"