sw_tn/luk/08/51.md

12 lines
376 B
Markdown

# Kisha alipokuja kwenye nyumba
"Kisha walipokuja katika nyumba, Yesu"
# isipokuwa Petro, Yohana na Yakobo, baba yake binti, na mama yake
"aliwaruhusu Petro, Yohana, Yakobo, baba yake binti, na mama yake kuingia ndani"
# watu wote walikuwa wanaomboleza na kutoa sauti kwa ajili yake
"watu wote walikuwa wanaonyesha huzuni zao na kulia kwa sauti kwa sababu binti amekufa"