sw_tn/luk/08/51.md

376 B

Kisha alipokuja kwenye nyumba

"Kisha walipokuja katika nyumba, Yesu"

isipokuwa Petro, Yohana na Yakobo, baba yake binti, na mama yake

"aliwaruhusu Petro, Yohana, Yakobo, baba yake binti, na mama yake kuingia ndani"

watu wote walikuwa wanaomboleza na kutoa sauti kwa ajili yake

"watu wote walikuwa wanaonyesha huzuni zao na kulia kwa sauti kwa sababu binti amekufa"