sw_tn/luk/08/34.md

364 B

wakakimbia

"kwa haraka wakakimbia mbali"

wakamwona mtu ambaye mapepo yalikuwa yamemtoka

"walimwona mtu ambaye mapepo yamemtoka"

alikuwa amevaa vizuri

"Alikuwa amevaa nguo"

mwenye akili timamu

"alikuwa na akili timamu" au "alikuwa anaishi kawaida"

amekaa kwenye miguu ya Yesu

"amekaa chini, akimsikiliza Yesu"

na waliogopa

"walimwogopa Yesu"