sw_tn/luk/08/26.md

841 B

ujumbe wa kuunganisha

Yesu na wanafunzi wake wakaja pwani kwa Wagerasi ambapo Yesu aliondoa mapepo mengi kutoka kwa mwanaume.

Mkoa wa Gerasini

Wagerasini walikuwa ni watu kutoka mji ulioitwa Gerasa.

usawa wa Galilaya

"Upande mwingine wa Galilalya"

mtu fulani kutoka mjini

"mtu kutoka mji wa Gerasa"

na huyu mtu alikuwa na nguvu za giza

"mtu ambaye nguvu za giza zilimwendesha" au "huyu mtu alikuwa anaendeshwa na nguvu za giza"

Kwa muda mrefu alikuwa havai nguo.... lakini aliishi kwenye makaburi

Hii ni taarifa ya nyuma kuhusu huyu mtu aliyekuwa na mapepo.

alikuwa havai nguo

"hakuwa anavaa nguo"

Makaburini

Hizi ni sehemu ambazo watu huwa wanaweka miili ya watu waliokufa, yawezekana ni mapango. ukweli kwamba mtu huyu alikuwa anaishi humo inaashiria kuwa haya hayakuwa mashimo yaliyochimbwa chini ya ardhi.