sw_tn/luk/08/26.md

32 lines
841 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ujumbe wa kuunganisha
Yesu na wanafunzi wake wakaja pwani kwa Wagerasi ambapo Yesu aliondoa mapepo mengi kutoka kwa mwanaume.
# Mkoa wa Gerasini
Wagerasini walikuwa ni watu kutoka mji ulioitwa Gerasa.
# usawa wa Galilaya
"Upande mwingine wa Galilalya"
# mtu fulani kutoka mjini
"mtu kutoka mji wa Gerasa"
# na huyu mtu alikuwa na nguvu za giza
"mtu ambaye nguvu za giza zilimwendesha" au "huyu mtu alikuwa anaendeshwa na nguvu za giza"
# Kwa muda mrefu alikuwa havai nguo.... lakini aliishi kwenye makaburi
Hii ni taarifa ya nyuma kuhusu huyu mtu aliyekuwa na mapepo.
# alikuwa havai nguo
"hakuwa anavaa nguo"
# Makaburini
Hizi ni sehemu ambazo watu huwa wanaweka miili ya watu waliokufa, yawezekana ni mapango. ukweli kwamba mtu huyu alikuwa anaishi humo inaashiria kuwa haya hayakuwa mashimo yaliyochimbwa chini ya ardhi.