sw_tn/luk/08/16.md

36 lines
855 B
Markdown

# Ujumbe wa kuunganisha:
Yesu aliendelea na mfano mwingine kisha akahitimisha kwa wanafunzi wake kwa kusisitiza jukumu la familia yake katika kazi yake.
# Sasa
Hili neno limetumika hapa kuweka alama ya kuanza kwa mfano mwingine.
# kinara cha taa
"meza" au "rafu"
# hakuna kitakachojificha ambacho hakitajulikana
"kita kitu kilichojificha kitajulikana"
# au chochote kilicho sirini ambacho hakitajulikana kikiwa kwenye mwanga
"na kila kitu ambacho ni siri kitajulikana na kuja kwenye mwanga"
# unapokuwa unasikiliza
"jinsi gani unasikiliza katika kile ninawaambia" au "Jinsi unavyosikiliza neno la Mungu"
# aliye nacho
"yeyote anayesikiliza" au "yeyote anayepokea ninachokifundisha"
# kwake ataongezewa zaidi
"vingi atapewa." "Mungu atampa vingi"
# asiye nacho
"yeyote ambaye hataaelewa" au "yeyote ambaye hatapokea kile ninachofundisha"