sw_tn/luk/08/16.md

855 B

Ujumbe wa kuunganisha:

Yesu aliendelea na mfano mwingine kisha akahitimisha kwa wanafunzi wake kwa kusisitiza jukumu la familia yake katika kazi yake.

Sasa

Hili neno limetumika hapa kuweka alama ya kuanza kwa mfano mwingine.

kinara cha taa

"meza" au "rafu"

hakuna kitakachojificha ambacho hakitajulikana

"kita kitu kilichojificha kitajulikana"

au chochote kilicho sirini ambacho hakitajulikana kikiwa kwenye mwanga

"na kila kitu ambacho ni siri kitajulikana na kuja kwenye mwanga"

unapokuwa unasikiliza

"jinsi gani unasikiliza katika kile ninawaambia" au "Jinsi unavyosikiliza neno la Mungu"

aliye nacho

"yeyote anayesikiliza" au "yeyote anayepokea ninachokifundisha"

kwake ataongezewa zaidi

"vingi atapewa." "Mungu atampa vingi"

asiye nacho

"yeyote ambaye hataaelewa" au "yeyote ambaye hatapokea kile ninachofundisha"