sw_tn/luk/08/14.md

577 B

husongwa na huduma na utajiri

"huduma na utajiri na ubora wa maisha huwasonga." "kama palizi huzuia miche mizuri kukua, huduma, utajiri, na ubora wa maisha haya zinawabana hawa watu kukua."

huduma

"vitu ambavyo watu huogopa"

ubora wa maisha haya

"vitu ambavyo kwenye maisha watu hufurahia"

hawazai matunda

"hawazai kuzaa matunda." "kama mche ambao haukui na kuzaa matunda, hawawezi kukua na na kufanya kazi njema."

kuazaa matunda ya uvumilivu

"Kuzaa matunda ya Uvumilivu." Ni kama miche yenye afya inavyozaa matunda mazuri, wanatoa kazi njema kwa uvumilivu"