sw_tn/luk/08/14.md

20 lines
577 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# husongwa na huduma na utajiri
"huduma na utajiri na ubora wa maisha huwasonga." "kama palizi huzuia miche mizuri kukua, huduma, utajiri, na ubora wa maisha haya zinawabana hawa watu kukua."
# huduma
"vitu ambavyo watu huogopa"
# ubora wa maisha haya
"vitu ambavyo kwenye maisha watu hufurahia"
# hawazai matunda
"hawazai kuzaa matunda." "kama mche ambao haukui na kuzaa matunda, hawawezi kukua na na kufanya kazi njema."
# kuazaa matunda ya uvumilivu
"Kuzaa matunda ya Uvumilivu." Ni kama miche yenye afya inavyozaa matunda mazuri, wanatoa kazi njema kwa uvumilivu"