sw_tn/luk/08/09.md

20 lines
537 B
Markdown

# Ujumbe wa kuunganisha
Yesu anaanza kusema kwa wanafunzi wake.
# Mmepewa upendeleo wa kujua
"MUngu amewapa ninyi zawadi ya kuelewa" au "Mungu amewafanya watu kuelewa"
# siri ya ufalme wa Mungu
Hizi ni kweli kwamba zimejificha lakini Yesu aliwafunulia.
# wakiona wasione
"kupitia wanachoona, hawatajua." "kupitia wanavyoona vitu, hawatavielewa" au "kupitia wanavyoona vitu vikitokea, hawataelewa vina maanisha nini."
# wakisikia wasielewe
"Kupitia wanavyosikia hawatelewa." "kupitia wanavyosikia maelekezo, hawataelewa ukweli."