sw_tn/luk/08/09.md

537 B

Ujumbe wa kuunganisha

Yesu anaanza kusema kwa wanafunzi wake.

Mmepewa upendeleo wa kujua

"MUngu amewapa ninyi zawadi ya kuelewa" au "Mungu amewafanya watu kuelewa"

siri ya ufalme wa Mungu

Hizi ni kweli kwamba zimejificha lakini Yesu aliwafunulia.

wakiona wasione

"kupitia wanachoona, hawatajua." "kupitia wanavyoona vitu, hawatavielewa" au "kupitia wanavyoona vitu vikitokea, hawataelewa vina maanisha nini."

wakisikia wasielewe

"Kupitia wanavyosikia hawatelewa." "kupitia wanavyosikia maelekezo, hawataelewa ukweli."