forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
832 B
Markdown
28 lines
832 B
Markdown
# Yesu akamgeukia mwanamke
|
|
|
|
"Yesu akamwangalia mwanamke. "Yesu akaelekeza uamkini wa Simoni kwa mwanamke kwa kumgeukia"
|
|
|
|
# hukunipa maji kwaajili ya miguu yangu
|
|
|
|
Huu ni wajibu wa msingi kwa mwenyeji kuleta maji na taulo kwaajili ya wageni kuoshwa na kukausha miguu yao baada ya kutembea kwenye njia ya vumbi.
|
|
|
|
# wewe ... lakini yeye
|
|
|
|
Yesu mara mbili anatumia virai hivi kupinga upungufu wa heshima ya Simoni kwa kile kitendo cha ziada cha mwanamke.
|
|
|
|
# kailowanisha miguu yangu kwa machozi yake
|
|
|
|
Mwanamke alitumia machozi yake kwa maji yaliyokosekana.
|
|
|
|
# aliifuta kwa nywele zake
|
|
|
|
Mwanamke alitumia nywele zake badala ya taulo iliyokosekana.
|
|
|
|
# hukunipa busu
|
|
|
|
"Mwenyeji mzuri kwenye huo utamaduni aliwasalimia wageni wake kwa busu kwenye shavu. Simono hakufanya."
|
|
|
|
# hakuacha kunibusu miguu yangu
|
|
|
|
"ameendelea kunibusu miguu yangu"
|