sw_tn/luk/07/44.md

832 B

Yesu akamgeukia mwanamke

"Yesu akamwangalia mwanamke. "Yesu akaelekeza uamkini wa Simoni kwa mwanamke kwa kumgeukia"

hukunipa maji kwaajili ya miguu yangu

Huu ni wajibu wa msingi kwa mwenyeji kuleta maji na taulo kwaajili ya wageni kuoshwa na kukausha miguu yao baada ya kutembea kwenye njia ya vumbi.

wewe ... lakini yeye

Yesu mara mbili anatumia virai hivi kupinga upungufu wa heshima ya Simoni kwa kile kitendo cha ziada cha mwanamke.

kailowanisha miguu yangu kwa machozi yake

Mwanamke alitumia machozi yake kwa maji yaliyokosekana.

aliifuta kwa nywele zake

Mwanamke alitumia nywele zake badala ya taulo iliyokosekana.

hukunipa busu

"Mwenyeji mzuri kwenye huo utamaduni aliwasalimia wageni wake kwa busu kwenye shavu. Simono hakufanya."

hakuacha kunibusu miguu yangu

"ameendelea kunibusu miguu yangu"