sw_tn/luk/06/46.md

40 lines
996 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla:
Yesu anamlinganisha mtu ambaye anatii na mtu anayejenga nyumba juu ya mwamba ambapo itakuwa na uimara na gharika.
# Bwana, Bwana
Urudiaji wa maneno haya huashiria kwamba walimwita Yesu kwa kawaida "Bwana."
# Kila mtu ajaye kwangu ... nitakwambia anacho kifanana
Itakuwa wazi zaidi kubadili mfumo wa sentensi hii. NI: "Nitakuambia jinsi kila mtu anayekuja kwangu akasikia na kuyatii maneno yangu anavyofanana "
# jenga msingi wa nyumba kwenye mwamba imara
"Kuchimba msingi wa nyumba kwa kina kufikia mwamba imara" Baadhi ya tamaduni hawajengi juu ya mwamba, wanaweza kuhitaji kutumia kitu kingine kwa msingi imara.
# Msingi
"msingi" au "saidia"
# mwamba imara
Huu ni mwamba mgumu ambao upo chini ya udongo.
# Maporomoko ya maji
"maji yaendayo kasi" au "mto "
# Yakatokea dhidi
"Yakagonga dhidi yake"
# tikisa
Maana zinazowezekana ni 1) "sababisha kutikisika" au 2) "iharibu."
# Kwa sababu ilikuwa imejengwa vizuri
"kwa sababu mtu alikuwa ameijenga vizuri"