sw_tn/luk/06/35.md

616 B

Dhawabu yenu itakuwa kubwa

"mtapokea dhawabu kubwa" au "mtapokea malipo mazuri" au "mtapata zawadi nzuri kwa sababu ya hilo"

Mtakuwa wana wa aliye juu

Ni vizuri sana kutafsiri "wana" kwa maneno ambayo lugha yako itayatumia kwa asili kurejea kwa mwana wa kibinadamu.

wana wa aliye juu

Hakikisha kwamba neno "wana" ni wingi lisichanganywe na cheo cha Yesu "Mwana wa aliye Juu Sana"

Wasio na shukrani na ni watu waovu

"Watu ambao hawamshukuru yeye na ambao ni waovu"

Baba yako

Hii inamrejea Mungu. Ni bora kutafsiri "Baba" kwa neno ambalo lugha ambayo kwa asili hutumika kurejea kwa baba binadamu.