sw_tn/luk/06/35.md

20 lines
616 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Dhawabu yenu itakuwa kubwa
"mtapokea dhawabu kubwa" au "mtapokea malipo mazuri" au "mtapata zawadi nzuri kwa sababu ya hilo"
# Mtakuwa wana wa aliye juu
Ni vizuri sana kutafsiri "wana" kwa maneno ambayo lugha yako itayatumia kwa asili kurejea kwa mwana wa kibinadamu.
# wana wa aliye juu
Hakikisha kwamba neno "wana" ni wingi lisichanganywe na cheo cha Yesu "Mwana wa aliye Juu Sana"
# Wasio na shukrani na ni watu waovu
"Watu ambao hawamshukuru yeye na ambao ni waovu"
# Baba yako
Hii inamrejea Mungu. Ni bora kutafsiri "Baba" kwa neno ambalo lugha ambayo kwa asili hutumika kurejea kwa baba binadamu.