sw_tn/luk/05/36.md

367 B

Taarifa kwa ujumla

Yesu anasema habari kwa waandishi na mafarisayo waliokuwa nyumbani kwa Lawi.

Hakuna mtu huchana

"Hakuna mmoja hupasua " au" mtu hachani kamwe"

kama alifanya hivyo

Kauli hii tete inaelezea sababu kwa nini mtu hatarekebisha vazi kwa njia hiyo.

kurekebisha

"karabati"

kisingefaa

"kisingeweza kukubaliana " au" kisingekuwa sawa"