forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
892 B
Markdown
28 lines
892 B
Markdown
# Sasa baadhi ya watu wakaja
|
|
|
|
Hawa ni watu wapya katika simulizi. Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kuonesha kwamba hawa ni watu wapya. "kulikuwa na watu ambao walikuja."
|
|
|
|
# godoro
|
|
|
|
"kitu cha kulalia" au "kitu cha kuunyosha mwili"
|
|
|
|
# alikuwa amepooza
|
|
|
|
"hangeweza kuondoka mwenyewe"
|
|
|
|
# Wasingeweza kupata njia ya kumleta ndani kwa sababu ya kusanyiko, hivyo
|
|
|
|
Katika baadhi ya lugha inaweza inaweza ikawa kiasili ukirekebishwa. "Lakini kwa sababu ya mkutano wa watu, wasingepata njia kumleta mtu ndani"
|
|
|
|
# kwasababu ya mkutano
|
|
|
|
Ni wazi kwamba sababu iliyowafanya wasiweze kuingia ilikuwa hadhara kubwa sana pale hapakuwa na nafasi kwaajili yao.
|
|
|
|
# walikwenda juu hadi juu kabisa ya nyumba
|
|
|
|
Nyumba zilikuwa na dari, na baadhi ya nyumba zilikuwa na ngazi au kipandio (daraja) cha kurahisisha kupanda kule juu.
|
|
|
|
# mbele ya Yesu kabisa
|
|
|
|
"mbele ya Yesu moja kwa moja" au "kwa haraka mbele ya Yesu"
|