sw_tn/luk/05/18.md

892 B

Sasa baadhi ya watu wakaja

Hawa ni watu wapya katika simulizi. Lugha yako inaweza kuwa na njia ya kuonesha kwamba hawa ni watu wapya. "kulikuwa na watu ambao walikuja."

godoro

"kitu cha kulalia" au "kitu cha kuunyosha mwili"

alikuwa amepooza

"hangeweza kuondoka mwenyewe"

Wasingeweza kupata njia ya kumleta ndani kwa sababu ya kusanyiko, hivyo

Katika baadhi ya lugha inaweza inaweza ikawa kiasili ukirekebishwa. "Lakini kwa sababu ya mkutano wa watu, wasingepata njia kumleta mtu ndani"

kwasababu ya mkutano

Ni wazi kwamba sababu iliyowafanya wasiweze kuingia ilikuwa hadhara kubwa sana pale hapakuwa na nafasi kwaajili yao.

walikwenda juu hadi juu kabisa ya nyumba

Nyumba zilikuwa na dari, na baadhi ya nyumba zilikuwa na ngazi au kipandio (daraja) cha kurahisisha kupanda kule juu.

mbele ya Yesu kabisa

"mbele ya Yesu moja kwa moja" au "kwa haraka mbele ya Yesu"