sw_tn/luk/05/17.md

208 B

Kauli Unganishi:

Siku moja Yesu alipokuwa akifundisha katika jengo, baadhi ya watu walimleta mtu aliyepooza kwaajili Yesu kumponywa.

Ilitokea

Kauli hii inaonesha mwanzo wa sehemu mpya katika simulizi.