# Kauli Unganishi: Siku moja Yesu alipokuwa akifundisha katika jengo, baadhi ya watu walimleta mtu aliyepooza kwaajili Yesu kumponywa. # Ilitokea Kauli hii inaonesha mwanzo wa sehemu mpya katika simulizi.