sw_tn/luk/05/04.md

16 lines
365 B
Markdown

# Alipokwisha kumaliza kuzungumza
"Yesu alipomaliza kuwafundisha watu"
# ya maneno yako
"kwa sababu ya maneno yako" au "kwa sababu umeniambia kufanya hivi"
# walipunga
walikuwa mbali sana kutoka ufuoni hivyo walifanya ishara, huenda kupunga mikono.
# walianza kuzama
"mtumbwi ulianza kuzama." "mtumbwi ulianza kuzama kwa sababu samaki walikuwa wazito sana."