# Alipokwisha kumaliza kuzungumza "Yesu alipomaliza kuwafundisha watu" # ya maneno yako "kwa sababu ya maneno yako" au "kwa sababu umeniambia kufanya hivi" # walipunga walikuwa mbali sana kutoka ufuoni hivyo walifanya ishara, huenda kupunga mikono. # walianza kuzama "mtumbwi ulianza kuzama." "mtumbwi ulianza kuzama kwa sababu samaki walikuwa wazito sana."