sw_tn/luk/05/01.md

1.0 KiB

Kauli Unganishi:

Yesu anahubiri kutoka katika mtumbwi wa Simoni Petro katika ziwa Genesareti

Sasa ilitokea

Kauli hii inatumika hapa kuweka alama kwenye mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi. Kama lugha yako inanamna ya kufanya hivi, ungefikiri kutumia hapa.

ziwa Genesareti

Hili ni jina lingine la ziwa Galilaya. Galilaya ulikuwa upande magharibi wa ziwa, na na nchi ya Genesareti ulikuwa upande wa mashariki, hivyo ulikuwa unaitwa kwa majina yote.

kuosha nyavu zao

Walikuwa wanasafisha nyavu za kuvuvia ili wazitumia tena kupata samaki.

mitumbwi mmoja ambao ulikuwa wa Simoni

"mtumbwi unaomilikiwa na simoni"

akamwambia kuweka kwenye maji mbali kidogo kutoka kwenye ardhi

"alimwambia Petro kuusukuma mtumbwi zaidi kutoka ufuoni"

aliketi na akawafundisha watu

kuketi ilikuwa ni mfumo wa kawaida kwa mwalimu.

aliwafundisha watu tokea kwenye mtumbwi

"aliwafundisha watu akiwa amekaa kwenye mtumbwi." Yesu alikuwa katika mtumbwi mbali kidogo kutoka ufuoni na alikuwa anaongea na watu ambao walikuwa kwenye ufuo.