sw_tn/luk/05/01.md

32 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kauli Unganishi:
Yesu anahubiri kutoka katika mtumbwi wa Simoni Petro katika ziwa Genesareti
# Sasa ilitokea
Kauli hii inatumika hapa kuweka alama kwenye mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi. Kama lugha yako inanamna ya kufanya hivi, ungefikiri kutumia hapa.
# ziwa Genesareti
Hili ni jina lingine la ziwa Galilaya. Galilaya ulikuwa upande magharibi wa ziwa, na na nchi ya Genesareti ulikuwa upande wa mashariki, hivyo ulikuwa unaitwa kwa majina yote.
# kuosha nyavu zao
Walikuwa wanasafisha nyavu za kuvuvia ili wazitumia tena kupata samaki.
# mitumbwi mmoja ambao ulikuwa wa Simoni
"mtumbwi unaomilikiwa na simoni"
# akamwambia kuweka kwenye maji mbali kidogo kutoka kwenye ardhi
"alimwambia Petro kuusukuma mtumbwi zaidi kutoka ufuoni"
# aliketi na akawafundisha watu
kuketi ilikuwa ni mfumo wa kawaida kwa mwalimu.
# aliwafundisha watu tokea kwenye mtumbwi
"aliwafundisha watu akiwa amekaa kwenye mtumbwi." Yesu alikuwa katika mtumbwi mbali kidogo kutoka ufuoni na alikuwa anaongea na watu ambao walikuwa kwenye ufuo.