sw_tn/luk/03/25.md

164 B

mwana wa Matathia, mwana wa Amosi ... Joda

Huu ni mwendelezo wa orodha ya mababu wa Yesu. Tumia namna ile ile kama ulivyotumia kwenye mistari ile iliyotangulia.