# mwana wa Matathia, mwana wa Amosi ... Joda Huu ni mwendelezo wa orodha ya mababu wa Yesu. Tumia namna ile ile kama ulivyotumia kwenye mistari ile iliyotangulia.