sw_tn/luk/03/18.md

642 B

Maelezo kwa ujumla

Simulizi inaelezea nini kinaenda kutokea kwa Yohana lakini halijatokea kwa wakati huu.

Kwa maonyo mengine mengi

"Pamoja na hoja zingine za nguvu nyingi"

Herode Tetraki

Herode alikuwa Tetraki, siyo mfalme. Alikuwa na utawala unaokomea eneo maalumu katika mkoa wa Galilaya.

Kwaajili ya kumuoa mke wa ndugu yake Herodia

"kwa sababu Herode alimuoa Herodia, mke wa ndugu yake." Huu ulikuwa uovu kwa sababu kaka wa Herode alikuwa hai. Hii inaweza kusemwa wazi. AT: "kwasababu alimuoa mke wa kaka yake, Herodia, wakati kaka yake akiwa hai"

Alimfunga Yohana gerezani

"Aliwaambia askari wake kumuweka Yohana jela