forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
642 B
Markdown
20 lines
642 B
Markdown
|
# Maelezo kwa ujumla
|
||
|
|
||
|
Simulizi inaelezea nini kinaenda kutokea kwa Yohana lakini halijatokea kwa wakati huu.
|
||
|
|
||
|
# Kwa maonyo mengine mengi
|
||
|
|
||
|
"Pamoja na hoja zingine za nguvu nyingi"
|
||
|
|
||
|
# Herode Tetraki
|
||
|
|
||
|
Herode alikuwa Tetraki, siyo mfalme. Alikuwa na utawala unaokomea eneo maalumu katika mkoa wa Galilaya.
|
||
|
|
||
|
# Kwaajili ya kumuoa mke wa ndugu yake Herodia
|
||
|
|
||
|
"kwa sababu Herode alimuoa Herodia, mke wa ndugu yake." Huu ulikuwa uovu kwa sababu kaka wa Herode alikuwa hai. Hii inaweza kusemwa wazi. AT: "kwasababu alimuoa mke wa kaka yake, Herodia, wakati kaka yake akiwa hai"
|
||
|
|
||
|
# Alimfunga Yohana gerezani
|
||
|
|
||
|
"Aliwaambia askari wake kumuweka Yohana jela
|