sw_tn/luk/03/05.md

717 B

Kila bonde litajazwa...kila mlima na kilima vitasawazishwa

Watu wanapoandaa barabara kwa ajili ya mtu mhimu anayekuja, wanasawazisha maeneo yaliyoinuka na kujaza maeneo ya mabonde ili kusawazisha barabara. Hii ni sehemu ya msemo wa neno lililozungumzwa katika msitari ulioelezwa juu.

Kila bonde litajazwa

Hii inaweza kuelezewa katika hali ya kutenda. AT: "Watalijaza kila eneo la bonde katika barabara.

Kila mlima na kijilima vitasawazishwa

Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "watasawazisha kila mlima na kilima"" au "Wataondoa kila eneo la mwinuko katika barabara"

Angalia wokovu wa Mungu

Hii inaweza kuelezewa kama tendo. AT: "Jifunze jinsi Mungu anavyookoa watu kutoka katika dhambi."