sw_tn/luk/03/05.md

16 lines
717 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kila bonde litajazwa...kila mlima na kilima vitasawazishwa
Watu wanapoandaa barabara kwa ajili ya mtu mhimu anayekuja, wanasawazisha maeneo yaliyoinuka na kujaza maeneo ya mabonde ili kusawazisha barabara. Hii ni sehemu ya msemo wa neno lililozungumzwa katika msitari ulioelezwa juu.
# Kila bonde litajazwa
Hii inaweza kuelezewa katika hali ya kutenda. AT: "Watalijaza kila eneo la bonde katika barabara.
# Kila mlima na kijilima vitasawazishwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "watasawazisha kila mlima na kilima"" au "Wataondoa kila eneo la mwinuko katika barabara"
# Angalia wokovu wa Mungu
Hii inaweza kuelezewa kama tendo. AT: "Jifunze jinsi Mungu anavyookoa watu kutoka katika dhambi."