sw_tn/luk/02/intro.md

611 B

Luka 02 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka sala ndefu au unabii mbele kidogo ya maandiko nyingine. Kwa sababu hii, ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari ya 2:14, 29-32.

"Dhana maalum katika sura hii"

Hakukuwa na nafasi kwao

Maelezo ya Luka kuhusu kuzaliwa kwa Kristo hauna maelezo mengi kama vile injili nyingine. Huenda Luka hakufikiri kama maelezo haya yalikuwa muhimu, labda kwa sababu ya habari za kuzaliwa katika injili nyingine.

<< | >>