sw_tn/luk/02/33.md

1.0 KiB

mambo ambayo yalisemwa kumhusu yeye

Hii inaweza ikasemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "mambo ambayo Simeoni aliyasema kumhusu yeye."

alimwambia Mariamu mama yake

"alisema kwa mama wa mtoto, Mariamu." Hakikisha haieleweki kama Mariamu ni mama wa Simeoni.

Tazama

Simeoni alitumia udhihirisho huu kumwambia Mariamu kwamba ambacho anachokwenda kukisema ni cha mhimu sana kwake.

mtoto huyu ni mstaakabali wa kuanguka na kuinuka kwa wengi katika Israeli.

Neno "kuinuka" na "kuanguka" yanadhihirisha kugeuka kutoka kwa Mungu na kumkaribia Mungu karibu. "mtoto huyu atasababisha watu wengi katika Israeli kuanguka kutoka kwa Mungu au kuinuka karibu na Mungu."

kwaajili ya ishara ambayo ilikataliwa

"kwaajili ya ujumbe kutoka kwa Mungu kwamba watu wengi watapinga"

upanga utapenya nafsini mwako

Sitiari hii inafafanua huzuni ya ndani ambayo Mariamu angeliisikia. NI: "Huzuni yako itakuwa maumivu ingawa kama upanga utapenya moyoni mwako."

mawazo kutoka kwenye "mioyo" mingi yatadhihirishwa"

NI: "mawazo ya watu wengi yatawekwa wazi."