forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
1.0 KiB
Markdown
28 lines
1.0 KiB
Markdown
|
# mambo ambayo yalisemwa kumhusu yeye
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza ikasemwa katika mtindo wa kutendea. NI: "mambo ambayo Simeoni aliyasema kumhusu yeye."
|
||
|
|
||
|
# alimwambia Mariamu mama yake
|
||
|
|
||
|
"alisema kwa mama wa mtoto, Mariamu." Hakikisha haieleweki kama Mariamu ni mama wa Simeoni.
|
||
|
|
||
|
# Tazama
|
||
|
|
||
|
Simeoni alitumia udhihirisho huu kumwambia Mariamu kwamba ambacho anachokwenda kukisema ni cha mhimu sana kwake.
|
||
|
|
||
|
# mtoto huyu ni mstaakabali wa kuanguka na kuinuka kwa wengi katika Israeli.
|
||
|
|
||
|
Neno "kuinuka" na "kuanguka" yanadhihirisha kugeuka kutoka kwa Mungu na kumkaribia Mungu karibu. "mtoto huyu atasababisha watu wengi katika Israeli kuanguka kutoka kwa Mungu au kuinuka karibu na Mungu."
|
||
|
|
||
|
# kwaajili ya ishara ambayo ilikataliwa
|
||
|
|
||
|
"kwaajili ya ujumbe kutoka kwa Mungu kwamba watu wengi watapinga"
|
||
|
|
||
|
# upanga utapenya nafsini mwako
|
||
|
|
||
|
Sitiari hii inafafanua huzuni ya ndani ambayo Mariamu angeliisikia. NI: "Huzuni yako itakuwa maumivu ingawa kama upanga utapenya moyoni mwako."
|
||
|
|
||
|
# mawazo kutoka kwenye "mioyo" mingi yatadhihirishwa"
|
||
|
|
||
|
NI: "mawazo ya watu wengi yatawekwa wazi."
|