sw_tn/luk/02/27.md

32 lines
611 B
Markdown

# ikatokea
Baadhi ya lugha zinaweza kusema "kwenda"
# aliongozwa na Roho Mtakatifu
Hii inaweza kusemwa katika mtindo tendea. NI: "kama Roho Mtakatifu alivyo mwelekeza."
# kwenye hekalu
"katika kiwanja cha hekalu." Makuhani tu wangeliigia kwenye jengo la hekalu.
# wazazi
"wazazi' wa Yesu"
# desturi ya sheria
"desturi ya sheria ya Mungu"
# Sasa mpe ruhusa mtumishi wako aende kwa amani
"Mimi mtumishi wako; niruhusu niende katika amani." Simeoni alikuwa anarejea kwake mwenyewe.
# ondoka
Hii ni tasifida imaanishayo "kufa"
# kutokana na neno lako
"kama ulivyosema" au "kwasababu ulisema ningeli"