sw_tn/luk/02/27.md

611 B

ikatokea

Baadhi ya lugha zinaweza kusema "kwenda"

aliongozwa na Roho Mtakatifu

Hii inaweza kusemwa katika mtindo tendea. NI: "kama Roho Mtakatifu alivyo mwelekeza."

kwenye hekalu

"katika kiwanja cha hekalu." Makuhani tu wangeliigia kwenye jengo la hekalu.

wazazi

"wazazi' wa Yesu"

desturi ya sheria

"desturi ya sheria ya Mungu"

Sasa mpe ruhusa mtumishi wako aende kwa amani

"Mimi mtumishi wako; niruhusu niende katika amani." Simeoni alikuwa anarejea kwake mwenyewe.

ondoka

Hii ni tasifida imaanishayo "kufa"

kutokana na neno lako

"kama ulivyosema" au "kwasababu ulisema ningeli"