sw_tn/luk/02/10.md

1.0 KiB

usiwe na hofu

"koma kuwa na hofu"

kwamba zitaleta furaha kwa watu wote

"kwama zitawafanya wote kufurahi sana"

watu wote

Baadhi wanafahamu hii kurejea kwa Wayahudi. Wengine wanaelewa inarejea kwa watu wote.

mji wa Daudi

Hii inamaanisha Bethlehemu

Hii ni ishara itakayotolewa kwenu

Hii inaweza kusemwa kwenye mtindo tendea. NI: "Mungu atawapa ishara hii" au "mtaona ishara hii inayotoka kwa Mungu."

ishara

""uthibitisho." Hii pengine inaweza kuwa ishara kuthibitisha kwamba kile ambacho malaika alikuwa anasema ni kweli, au inaweza kuwa ishara ambayo ingelisaidia wachungaji kumtambua mtoto.

atasetiriwa katika nguo nadhifu

Hii ilikuwa njia ya kawaida kwamba mama alimlinda na kutunza watoto wao katika utamaduni huo. NI: "alisetiriwa vema katika blanketi itunzayo joto" au "alifungwa kwaufanisi kwenye blanketi." Angalia jinsi ilivyotafsiriwa 2:2.

Kalala katika kihori cha kulishia

Hiki kilikuwa kiboksi au kitu ambabacho watu waliweka humo majani au chakula kwaajili ya kula ng'ombe. Angalia jinsi ilivyotafsiriwa katika 2:6.