sw_tn/luk/02/10.md

32 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# usiwe na hofu
"koma kuwa na hofu"
# kwamba zitaleta furaha kwa watu wote
"kwama zitawafanya wote kufurahi sana"
# watu wote
Baadhi wanafahamu hii kurejea kwa Wayahudi. Wengine wanaelewa inarejea kwa watu wote.
# mji wa Daudi
Hii inamaanisha Bethlehemu
# Hii ni ishara itakayotolewa kwenu
Hii inaweza kusemwa kwenye mtindo tendea. NI: "Mungu atawapa ishara hii" au "mtaona ishara hii inayotoka kwa Mungu."
# ishara
""uthibitisho." Hii pengine inaweza kuwa ishara kuthibitisha kwamba kile ambacho malaika alikuwa anasema ni kweli, au inaweza kuwa ishara ambayo ingelisaidia wachungaji kumtambua mtoto.
# atasetiriwa katika nguo nadhifu
Hii ilikuwa njia ya kawaida kwamba mama alimlinda na kutunza watoto wao katika utamaduni huo. NI: "alisetiriwa vema katika blanketi itunzayo joto" au "alifungwa kwaufanisi kwenye blanketi." Angalia jinsi ilivyotafsiriwa 2:2.
# Kalala katika kihori cha kulishia
Hiki kilikuwa kiboksi au kitu ambabacho watu waliweka humo majani au chakula kwaajili ya kula ng'ombe. Angalia jinsi ilivyotafsiriwa katika 2:6.