forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1.4 KiB
Markdown
40 lines
1.4 KiB
Markdown
# Maelezo kwa ujumla
|
|
|
|
Kupitia katika mistari hii : "sisi" inahusisha watu wote.
|
|
|
|
# kwa sababu kawaida ya huruma iliyotolewa na Mungu wetu
|
|
|
|
Hii inaweza kusaidia kusema kwamba rehema ya Mungu inatusaidia sisi. NI: "kwa sababu Mungu anahuruma na na rehema kwetu."
|
|
|
|
# jua linachomoza kutoka juu ... kuchomoza juu
|
|
|
|
Mwanga kwa kawaida ni sitiari kwa ukweli. Hapa, jinsi jua linavyochomoza mwanga wake juu ya nchi ilitumika kama mfano wa jinsi mwokozi anavyotoa ukweli wa kiroho kwa watu.
|
|
|
|
# angaza juu
|
|
|
|
"toa maarifa kwa" au "toa mwanga wa kiroho kwa"
|
|
|
|
# wao wanaokaa gizani
|
|
|
|
Giza hapa ni sitiari kwa watu wasio na kweli. Hapa, watu ambao wanapungukiwa ukweli wa kiroho wanasemwa kama kwamba wanakaa gizani. NI: "watu wasiojua kufanya kweli"
|
|
|
|
# giza... kivuli cha kifo
|
|
|
|
kauli hizi mbili zinafanya kazi pamoja kusisitiza giza nene la kiroho kwa watu Mungu huwaonesha rehema kwao.
|
|
|
|
# katika kivuli cha mauti
|
|
|
|
kivuli ni sitiari kwa kitu fulani ambacho kinakabili. Hapa, inarejea kwenye giza la kiroho ambalo litawasababisha kufa. NI: "ambao wanakaribia kufa."
|
|
|
|
# ongoza miguu yetu
|
|
|
|
Kuongoza mtu kutembe ni sitiari ya kuongoza ufahamu wa kiroho. NI: "tuongoze" au "Tufundushe."
|
|
|
|
# miguu yetu
|
|
|
|
"miguu" inatumika kuwakilisha mtu kwa ujumla. NI: "sisi"
|
|
|
|
# katika njia ya amani
|
|
|
|
"njia ya amani" ni sitiari kwaajili ya njia inayomsababisha mtu kuwa na amani na Mungu. NI: "kuishi maisha ya amani" au "kutembea katika njia ambayo inatuongoza kwenye amani."
|