sw_tn/luk/01/78.md

1.4 KiB

Maelezo kwa ujumla

Kupitia katika mistari hii : "sisi" inahusisha watu wote.

kwa sababu kawaida ya huruma iliyotolewa na Mungu wetu

Hii inaweza kusaidia kusema kwamba rehema ya Mungu inatusaidia sisi. NI: "kwa sababu Mungu anahuruma na na rehema kwetu."

jua linachomoza kutoka juu ... kuchomoza juu

Mwanga kwa kawaida ni sitiari kwa ukweli. Hapa, jinsi jua linavyochomoza mwanga wake juu ya nchi ilitumika kama mfano wa jinsi mwokozi anavyotoa ukweli wa kiroho kwa watu.

angaza juu

"toa maarifa kwa" au "toa mwanga wa kiroho kwa"

wao wanaokaa gizani

Giza hapa ni sitiari kwa watu wasio na kweli. Hapa, watu ambao wanapungukiwa ukweli wa kiroho wanasemwa kama kwamba wanakaa gizani. NI: "watu wasiojua kufanya kweli"

giza... kivuli cha kifo

kauli hizi mbili zinafanya kazi pamoja kusisitiza giza nene la kiroho kwa watu Mungu huwaonesha rehema kwao.

katika kivuli cha mauti

kivuli ni sitiari kwa kitu fulani ambacho kinakabili. Hapa, inarejea kwenye giza la kiroho ambalo litawasababisha kufa. NI: "ambao wanakaribia kufa."

ongoza miguu yetu

Kuongoza mtu kutembe ni sitiari ya kuongoza ufahamu wa kiroho. NI: "tuongoze" au "Tufundushe."

miguu yetu

"miguu" inatumika kuwakilisha mtu kwa ujumla. NI: "sisi"

katika njia ya amani

"njia ya amani" ni sitiari kwaajili ya njia inayomsababisha mtu kuwa na amani na Mungu. NI: "kuishi maisha ya amani" au "kutembea katika njia ambayo inatuongoza kwenye amani."