sw_tn/luk/01/56.md

20 lines
401 B
Markdown

# Kauli Unganisha
Elizabethi anajifungua mtoto wake na Zakaria anamwita jina mtoto wao.
# alirudi nyumbani kwake
"Mariamu alirudi nyumbani kwake" au "Mariamu alirudi kwenye nyumba yake"
# Sasa
Neno hili linaonesha mwanzo wa tukio linalofuata katika historia.
# Jirani zake na ndugu zake
"majirani na ndugu wa Elizabethi"
# alizidisha rehema yake kwaajili yake
""amekuwa mwema sana kwake" UDB