sw_tn/luk/01/46.md

704 B

Maelezo kwa ujumla:

Mariamu anaanza wimbo wa kumsifu Bwana Mwokozi wake.

Nafsi yangu inasifu ... roho yangu inashangilia

Mariamu anatumia mtindo wa ushairi pale anaposema mambo yale yale katika njia mbili mhimu. ikiwezekana tafsri haya katika tofauti ndogo ya maneno au kauli ambayo inamaana inayofanana.

Nafsi yangu ... roho yangu

Yote "nafsi" na "roho" ... hurejea kwenye viungo vya kiroho vya mtu. Mariamu anasema kwamba ibada yake inatokea kwenye mtima wake wa ndani. NI: "utu wangu wa ndani ... moyo wangu" au "Mimi ... Mimi."

imefurahi ndani

"amehisi kufurahi sana" au "alikuwa na furaha sana"

Mungu Mwokozi wangu

"Mungu, ambaye ndiye aniokoaye mimi" au "Mungu ananiokoaye mimi"