forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
704 B
Markdown
20 lines
704 B
Markdown
|
# Maelezo kwa ujumla:
|
||
|
|
||
|
Mariamu anaanza wimbo wa kumsifu Bwana Mwokozi wake.
|
||
|
|
||
|
# Nafsi yangu inasifu ... roho yangu inashangilia
|
||
|
|
||
|
Mariamu anatumia mtindo wa ushairi pale anaposema mambo yale yale katika njia mbili mhimu. ikiwezekana tafsri haya katika tofauti ndogo ya maneno au kauli ambayo inamaana inayofanana.
|
||
|
|
||
|
# Nafsi yangu ... roho yangu
|
||
|
|
||
|
Yote "nafsi" na "roho" ... hurejea kwenye viungo vya kiroho vya mtu. Mariamu anasema kwamba ibada yake inatokea kwenye mtima wake wa ndani. NI: "utu wangu wa ndani ... moyo wangu" au "Mimi ... Mimi."
|
||
|
|
||
|
# imefurahi ndani
|
||
|
|
||
|
"amehisi kufurahi sana" au "alikuwa na furaha sana"
|
||
|
|
||
|
# Mungu Mwokozi wangu
|
||
|
|
||
|
"Mungu, ambaye ndiye aniokoaye mimi" au "Mungu ananiokoaye mimi"
|