sw_tn/luk/01/34.md

40 lines
1.1 KiB
Markdown

# Namna gani hili litatokea
NI: "Hili linawezekana kwa namna gani?" Ingawa Mariamu hakuelewa jinsi itakavyotokea, yeye hakuwa na shaka kwamba ingelitokea.
# Mimi sijalala pamoja na mwanaume yeyote
Mariamu alitumia hali halisi kusema kwamba hajawahi kuhusika kwenye tendo la ngono. NI: "Mimi ni bikra" (UDB)
# Roho Mtakatifu atakuja juu yako
utungaji mimba wa Mariamu ungelianza na ujio wa Roho Mtakatifu kwake.
# atakuja juu
"kuja ghafla" au "atakutokea"
# nguvu ya aliye Juu Sana
Ilikuwa ni nguvu ya Mungu ingelikuja zaidi ya kawaida kumsababisha Mariamu kuwa mjamzito hata wakati akiwa bado akabaki bikra. Hakikisha hii haidokezi hali au muungano wa ngono - huu ulikuwa muujiza.
# itakuja juu yako
"utafunikwa kma kivuli"
# mtakatifu
"mtoto mtakafu" au "mtoto mchanga mtakatifu"
# atakuwa akiitwa
Maana zinazowezekana 1)"watu watamwita" au 2) Mungu atamwita
# Hivyo mtakatifu atakayezaliwa ataitwa Mwana wa Mungu
Ingawaje mama yake Yesu alikuwa mwanadamu, Mungu zaidi ya kawaida alimweka Yesu tumboni mwake. Hivyo basi, Mungu alikuwa Baba yake, na Yesu alikuwa anaitwa "Mwana wa Mungu."
# Mwana wa Mungu
Hii ni sifa mhimu kwaajili ya Yesu.