forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
972 B
Markdown
20 lines
972 B
Markdown
# Sasa
|
|
|
|
Hii inadokeza kuhama katika simulizi kutokana nakilichotokea ndani ya hekalu kwenda kilichotokea nje. NI: "Wakati huo" au "Wakati malaika na Zakaria wanazungumza."
|
|
|
|
# Walitambua kwamba alishapata maono wakati akiwa hekaluni. Aliendelea kuwafanyia ishara na alibaki kimya.
|
|
|
|
Mambo haya huenda yalitokea muda uleule, na ishara za Zakaria ziliwasaidia watu kuelewa kwamba amepata maono. Inaweza ikawa msaada kwa wasikilizaji wako wabadili utaratibu kuonesha hivyo. NI: "Yeye aliendelea kuwafanyia ishara na alibaki kimya. Hivyo walitambua kwamba alipata maono wakati akiwa ndani ya hekalu."
|
|
|
|
# maono
|
|
|
|
maelezo yaliyotangulia yanaashiria kwamba Gabrieli alikuja kweli kwa zakaria hekaluni. Watu, hawajui hilo, walidhani Zakaria aliona maono.
|
|
|
|
# ilitokea
|
|
|
|
Kauli hii inahamisha simulizi kwenda mbele ambapo huduma ya Zakaria ilikuwa inaishia.
|
|
|
|
# alikwenda nyumbani kwake
|
|
|
|
Zakaria alikuwa haishi Yerusalemu, ambapo palikuwa na hekalu. Alisafiri kwenda kwenye mji alioishi.
|