sw_tn/lev/27/32.md

20 lines
725 B
Markdown

# yeyote anayepita chini ya fimbo ya mchungaji
Hii hurejea njia ambayo wangehesabu wanyama wao. : "unapohesabu wanyama wwako kwa kuinua fimbo ya mchungaji wako na huku wakipita chini ya fimbo hiyo kwenda upande mwingine" au "munapowahesabu wanyama"
# wa kumi mmoja lazima atengwe kwa ajili ya Yahweh
wakumi lazima atengwe kwa ajili ya Yahweh - sentensi yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa mumtenge wa kumi mmoja kwa ajili ya Yahweh"
# mmoja wa kumi
ya kumi- "kila mnyama wa kumi"
# kisha wote wawili yule wa kwanza na huyo aliyebadiliwa
"kisha wanya wote wawili"
# hawezi kukombolewa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Hataweza kumkomboa" au "Hataweza kummrejesha kwa kumnunutena"