sw_tn/lev/27/32.md

725 B

yeyote anayepita chini ya fimbo ya mchungaji

Hii hurejea njia ambayo wangehesabu wanyama wao. : "unapohesabu wanyama wwako kwa kuinua fimbo ya mchungaji wako na huku wakipita chini ya fimbo hiyo kwenda upande mwingine" au "munapowahesabu wanyama"

wa kumi mmoja lazima atengwe kwa ajili ya Yahweh

wakumi lazima atengwe kwa ajili ya Yahweh - sentensi yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa mumtenge wa kumi mmoja kwa ajili ya Yahweh"

mmoja wa kumi

ya kumi- "kila mnyama wa kumi"

kisha wote wawili yule wa kwanza na huyo aliyebadiliwa

"kisha wanya wote wawili"

hawezi kukombolewa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Hataweza kumkomboa" au "Hataweza kummrejesha kwa kumnunutena"