sw_tn/lev/27/26.md

497 B

Asiwepo mtu atakayetenga

Hakuna awezaye kutenga kwa ajili ya Yahweh"

sehemu ya tano lazima itaongezwa kwenye thamani hiyo

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "naye atalzaimika kuongeza moja ya taon kwenye thamani hiyo"

Na kama mnyama hakombolewi

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Kama mtu hamtejeshi kwa kumnunua tena huyo mnyama"

naye atauzwa kwa thamani iliyowe

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji : "kuhani atamuuza kwa thamani iliyowekwa"