sw_tn/lev/27/26.md

16 lines
497 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Asiwepo mtu atakayetenga
Hakuna awezaye kutenga kwa ajili ya Yahweh"
# sehemu ya tano lazima itaongezwa kwenye thamani hiyo
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "naye atalzaimika kuongeza moja ya taon kwenye thamani hiyo"
# Na kama mnyama hakombolewi
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Kama mtu hamtejeshi kwa kumnunua tena huyo mnyama"
# naye atauzwa kwa thamani iliyowe
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji : "kuhani atamuuza kwa thamani iliyowekwa"